Tufahamu
Tanzania Brush Products Ltd (TBP)
Kampuni ya Tanzania Brush Products imekua ikitengeneza na kusambaza brush na vifaa vingine vya usafi tokea mwaka 1968. Tunajivunia kampuni kumilikiwa na kuendesha na watanzania kwa asilimia 100, Tunatumia mbinu bora za zamani na za kisasa kutengeneza bidhaa bora.
Madhumuni
Dhumuni letu ni kutengeneza bidhaa zenye ubora wa viwango vya juu na vyeneye bei nafuu kwa watumiaji wa kila hali ya maisha.
Soma ZaidiMaono
Tunajiona tukiwa chapa namba moja na chaguo la kwanza kwa ajili ya mahitaji ote ya usafi hapa Afrika na duniani kote.
Soma ZaidiMakundi Ya Bidhaa
Mwaka huu, TBP imezindua bidhaa mbalimbali zenye ubora wa kimataifa. Bidhaa hizi zimetengenezwa kwenye kiwanda chetu cha kisasa cheneye uwezo wa kutengeneza brashi za plastiki za kiwango cha kipekee. Mzigo wetu unaturuhusu kujivunia kwa ubora wake.